Clergyman's

Words, and Quotes

Amri ya Kristo ilipima imani ya yule kipofu, ikiithibitisha na kuiimarisha. Bila kuchelewa au kusita, kipofu alitii amri ya Mungu: Alikwenda kuosha macho yake katika bwawa la Siloamu na aliona. Wengi wanaweza kuona ni kazi ya kipuuzi kwa mtu ambaye ni kipofu kufanya kazi ndogo kama hiyo ili aone. Lakini kwa vile alitii, kipofu alipona. Baraka huja kupitia utii. Kwa maana nyingine, kipofu alimtii Yesu bila kuona. Lakini matokeo yake, alipata kuona papohapo; ambapo baadaye, hatimaye, alipokea uponyaji halisi wa kiroho.
— Enock Maregesi

SAVE:
DESIGN:
CUSTOM BG:
FONT:
RATIO:
RES:
BG
PAT
TEXT
FRAME

Abhijit Naskar (83) Abraham Lincoln (97) Albert Camus (148) Albert Einstein (181) Aldous Huxley (92) Ambrose Bierce (98) Amit Kalantri (145) Amy Leigh Mercree (319) Anonymous (85) Anthony T. Hincks (248) Aristotle (126) Arthur Schopenhauer (82) Ayn Rand (101) Barack Obama (105) Benjamin Disraeli (95) Benjamin Franklin (127) Bertrand Russell (125) Blaise Pascal (88) C. JoyBell C. (213) C. S. Lewis (198) Cassandra Clare (226) Charles Bukowski (94) Christopher Hitchens (91) Chuck Palahniuk (124) Compton Gage (177) Confucius (82) Criss Jami (190) Debasish Mridha (1040) Douglas Adams (83) Elizabeth Gilbert (115) Emily Dickinson (86) Ernest Hemingway (99) Francis Bacon (88) Francois de La Rochefoucauld (109) Friedrich Nietzsche (237) George Bernard Shaw (149) George Eliot (91) George Orwell (92) H. L. Mencken (93) Haruki Murakami (123) Henry David Thoreau (187) Hillary Clinton (87) Honore de Balzac (82) J. K. Rowling (232) Jane Austen (116) Janvier Chouteu-Chando (144) Jerry Saltz (136) Jodi Picoult (112) Johann Wolfgang von Goethe (117) John F. Kennedy (86) John Green (133) Jr. (238) Lao Tzu (81) Leo Tolstoy (106) Lucius Annaeus Seneca (90) Mahatma Gandhi (160) Marcus Aurelius (91) Marcus Tullius Cicero (97) Marilyn Monroe (88) Mark Twain (220) Matshona Dhliwayo (141) Maya Angelou (82) Mensah Oteh (188) Mitch Albom (83) Mitt Romney (110) Mokokoma Mokhonoana (111) Neil Gaiman (135) Nicholas Sparks (148) Oscar Wilde (214) Paulo Coelho (190) Plato (131) Ralph Waldo Emerson (223) Ray Bradbury (82) Richelle Mead (115) Rick Riordan (176) Robert Frost (89) Roy T. Bennett (250) Samuel Butler (91) Samuel Johnson (97) Santosh Kalwar (109) Shannon L. Alder (94) Soren Kierkegaard (81) Stephen King (137) Stephen Richards (157) Steve Jobs (81) Steve Maraboli (212) Sunday Adelaja (227) Suzy Kassem (155) T. S. Eliot (81) Tamil (103) Terry Pratchett (123) Thomas Jefferson (111) Toba Beta (189) Unknown (638) Victor Hugo (141) Virginia Woolf (105) Voltaire (126) Walt Whitman (88) William Shakespeare (231) Winston Churchill (87)